Ni ipi Tofauti kati ya UEFA Euro na UEFA NATIONS LEAGUE

Kuna tofauti kubwa kati ya UEFA Euro na UEFA Nations League, ingawa mashindano yote mawili yanahusisha timu za taifa za Ulaya na huandaliwa na UEFA. Hizi hapa tofauti kuu: UEFA Euro (Ubingwa wa Ulaya) * Mashindano Makuu: UEFA Euro ni mashindano makuu ya soka barani Ulaya kwa timu za taifa. Ni sawa na Kombe la […]
UNFORGATABLE SEASON FOR CHELSEA FC

Moja kati ya msimu ambao klabu ya Chelsea haitowahi kuusahau basi ni msimu wa 2021-22 ukiachana na kuwa kwenye ligi ya Uingereza epl chelsea walimaliza nafasi ya tatu. Lakini pia wakafanikiwa kuondoka na mataji matatu, wakishinda UEFA Super Cup na FIFA Club World Cup (kombe la Dunia la vilabu) Lakini ulikuwa ni moja ya msimu […]
TOP 5 BEST PENALTY I EVER SEEN

Kuna matukio Mengi yanayotokea katika mchezo wa soka matukio ambayo, yanaacha kumbukumbu kubwa katika maisha ya watu, zinaweza kuwa kumbukumbu njema ama mbaya? Nadhani siyo kitu kigeni kushuhudia watu wakizimia, wengine wakipoteza hadi maisha yao baada ya masikitiko, ama furaha kuzidi wakati wakiangilia mchezo wa mpira miguu, katika matukio ambayo yanaweza kuwa yanaongoza kwa kuwapa […]
RODRYGO DE GOES: THE UNDERATED PLAYER

Vitabu vya Dini husema mwenye nacho huongezewa na asiyekuwa nacho hata kile kidogo alichokuwa nacho hunyan’ganywa Si ndio?sasa kuna Muda Dunia hufanya Virse versa, kuna Muda dunia humshusha yule anayestahili kupandishwa na anayestahili kushushwa humpandisha zaidi, yaani vurugu kweli kweli mpaka unajiuliza kwani ni nini? Dunia, unamaliza hapo unajiuliza kuna uhusiano gani? kati ya ubonge […]
NEYMAR DOS SANTOS JUNIOR: Mwanamfalme aliyeshindwa kuwa mfalme

Huyu ndie aliyetabiriwa kuja kuwa mfalme baada ya ufalme wa Pele, Armando Maradona, Lionel Messi, na Cristiano Ronaldo. lakini alipangalo Mungu mwanadamu ni nani? apinge, basi huyu ndie Mwanamfalme aliyeshindwa kuwa mfalme, the prince who never become a king. Tarehe 23, ya mwezi october mwaka 1940 alizaliwa mfalme wa soka, huko nchini brazil aliyelitawala soka […]
