NI KWELI HAWATABEBA KOMBE LA DUNIA?

Kuna tofauti kubwa kati ya kucheza mpira, na kubeba matumaini ya mamilioni ya mioyo ya watu. Kombe la Dunia la mwaka huu, siyo tu mashindano ya soka, hii ni vita ya mwisho ya kihisia, ni karata ya mwisho, ndio tumaini pekee lilobaki kwa malegend wengi wasoka. Hawa ni mastaa kumi (10) ambao hawachezi tu kwa […]