SUPA12

CODE: BW57D9E9E7

πŸ”₯ UCHAMBUZI MFUPI WAΒ  LEO πŸ”₯

⚽ Real Madrid vs Athletic Bilbao β€” Ushindi wa Real Madrid (1X2)
Real Madrid anaingia mchezo huu akiwa na rekodi nzuri sana dhidi ya Athletic Bilbao, hasa akiwa BernabΓ©u. Kikosi kina uzoefu mkubwa na mara nyingi wanajua kushinda mechi za presha. Pia wameonyesha consistency kwenye mechi kubwa za La Liga. Hii ndiyo sababu odds zao ziko chini β€” nafasi ya kushinda ni kubwa.

⚽ Getafe vs Barcelona β€” Over 1.5 Goals
Barcelona anapocheza, mara nyingi mechi zao huwa na magoli kutokana na mfumo wao wa kushambulia. Getafe pia akiwa nyumbani huwa anatafuta goal mapema. Hata magoli mawili tu yanatosha kushinda selection hii, hivyo hii ni market salama zaidi kuliko kuchagua mshindi moja kwa moja.

⚽ Bayern Munich vs Stuttgart β€” Ushindi wa Bayern Munich (1X2)
Bayern akiwa kwenye mechi kubwa za knockout huwa na dominance kubwa sana. Stuttgart ni timu nzuri lakini tofauti ya ubora wa kikosi na uzoefu bado iko upande wa Bayern. Mara nyingi Bayern hutawala possession na nafasi nyingi za kufunga.

⚽ Getafe vs Osasuna β€” Over 1.5 Goals
Hii ni selection yenye value nzuri kwa sababu timu zote mbili zina uwezo wa kupata goal. La Liga siku hizi lina mechi nyingi zinazoenda over 1.5 mapema sana. Goal moja kipindi cha kwanza inaweza kufungua kabisa mchezo.

πŸ’‘ Kwa ujumla, mkeka huu umechanganya favourites wakubwa na markets za magoli ambazo zina probability nzuri ya kutokea. Odds 3.33 bado zinaonekana realistic na si za risk kubwa sana. πŸ”₯

One Response

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *